HUENDA SIMBA IKAPOKONYWA POINT TATU ZA MTIBWA!!
UTANI KIDOGO
Club ya Simba huenda ikapokonywa Point tatu zote na kupewa Wapinzani wao Mtibwa kutokana na Makosa ambayo wameyafanya ktk mchezo huo
Club ya Simba imekuwa ikifanya makosa mara kwa mara kutokana na Uongozi wao kutokuwa Makini
Awali Club ya Simba ilipeleka Majina yake ya Wachezaji ambao watakuwa wakifunga Mikoani na ktk Majina yaliyopelekwa TFF jina la EMMANUEL OKWI halikuwepo
Kwa hiyo Simba huenda ikapokonywa Point kutokana na kuvunja Sheria hiyo hivyo Point hizo watapewa Mtibwa
Souce udaku
No comments