Breaking News

NATAKA KUONDOKA MANCHESTER UNITED

BAADA YA KUGOMA KUSAINI MKATABA MPYA ANTHONY MATRIAL SASA ATAKA KUONDOKA KATIKA CLUB YAKE YA MANCHESTER UNITED.

KAULI HIYO IMEKUJA BAADA YA MCHEZAJI HUYO KUKOSA NAFASI YA KUCHEZA KATIKA KIKOSI CHA KWANZA CHA MANCHESTER UNITED BAADA YA UJIO WA MCHEZAJI WA ARSENAL ALEX SANCHEZ KATIKA KIKOSI ICHO KILICHOKO CHINI YA KOCHA MRENO JOSE MOURINHO

No comments