SIMBA KUSHUKA DIMBANI LEO DHIDI YA MBEYA CITY TAIFA
KIKOSI cha Simba sc kinatarajia kushuka dimbani Leo kuikabili Mbeya city katika mchezo wa ligi kuu VODACOM Tanzania bara.
Simba inashuka katika uwanja wa taifa kusaka pointi tatu muhimu ili kujihakikishia nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa VPL 2017/2018 .
Nyota wake muhimu Erasto Nyoni,Juuko na James kotei wanarejea kikosini baada ya kutumikia adhabu ya kadi kwa kuukosa mchezo dhidi ya Mtibwa.
Simba ndio vinara wa ligi kuu VODACOM wakiongoza kwa alama 52 .
No comments