YANGA vs SINGIDA:-HALI ILIVYO UWANJA TAIFA MDA HUU
KUELEKEA MCHEZO WA LEO KATI YA YANGA vs SINGIDA UNITED HIVI NDIVYO KULIVYO MDAAA HUU HAPA TAIFA.
MASHABIKI WA YANGA TAYARI WAMESHAANZA KUINGIA ILI KUIPA SAPOTI TIMU YAO DHIDI YA SINGIDA UNITED..
MCHEZO HUO UTAANZA MAJIRA YA SAA10:00jion
HALI YA HEWA KIDOGO NI YA MANYUNYU NA KIJIMVUA CHA APA NA APA LAKIN HII AIJAZUIA MASHABIKI HAWA KUANZA KUINGIA UWANJANI MAPEMA.
No comments