UTAMU NA MACHUNGU KATIKA MECHI YA CHELSEA vs HUDDERSFIELD TOWN UPO HIVI
Kikosi cha Chelsea leo kinashuka dimbani katika Uwanja wake wa nyumbani Stamford kuwakaribisha Huddersfield.
Ladha na utamu wa mchezo huo ipo hivi
Chelsea inaitaji kushinda mchezo huu ili kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya Top 4 inayoshindaniwa na Liverpool pamoja na Tottenham, Manchester united na Manchester city wao tayar washajikatia tiketi kushiriki mashindano ya uefa champion msimu ujao,
Endapo Chelsea akidroo au kupoteza mchezo huu wa leo na Tottenham kushinda basi msimu ujao Chelsea itashidwa kushiriki mashindano ya uefa champion
Wakati huo huo Huddersfield nayo inaitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi salama ya kubaki ligi kuu England.
Swansea anapoint 33 michezo 37 huku Huddersfield akiwa na point 36 michezo 36
HUDDERSFIELD MECHI YA MWISHO ANACHEZA NA ARSENAL
SWANSEA ANACHEZA NA STOKE CITY
JE NI SWANSEA AU HUDDERSFIELD AU MAJIBU KUPATIKANA MECHI ZA MWISHO
Tayari stock city na west Bromwich washashuka Daraja
No comments