YANGA YAIOMBA LIPULI MCHEZAJI WAO ILI AWASAIDIE KATIKA MASHINDANO YA CAF
TAARIFA ZILIZOTOKA HIVI PUNDE ZINASEMA CLUB YA YANGA IMETUMA MAOMBI KATIKA CLUB YA LIPULI ILI KUPEWA MSHAMBULIAJI WAO ADAM SALAMBA AWASAIDIE
Akizungumza leo na waandishi wa habari mkwasa amesema tayari wameshatuma maombi katika club yake ili wapewe mchezaji huo kuwasaidia katika mashindano ya caf ambayo ya naendelea katika hatua ya makundi.
Ikumbukwe yanga tayar washacheza mchezo mmoja na kupoteza kule misri sasa wanaona ni wakati wa kujipanga vizuri ili kuweza kufanya vyema katika mechi zilizosalia ili kuweza kuvuka katika hatua ya makundi.
No comments