Mtu hatari sana msimu huu katika upachikaji mabao pichani Mohamed Salah amebeba kiatu chake cha dhahabu baada ya kuchukua ufungaji bora wa Ligi Kuu England. Amemaliza Ligi Kuu England akiwa na mabao 32 na amekabidhiwa kiatu chake cha dhahabu.
No comments