MECHI YA SIMBA DHIDI YA KAKAMEGA YAPATA MGENI KUTOKA EVERTON
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Everton na timu ya Taifa ya Nigeria, Yakub Aiyegbeni ametua nchini Kenya kwa ajili ya kuwa mgeni rasmi kwenye michezo miwili ya nusu fainali ya kati ya Kakamega Home Boyz dhidi ya Simba saa 7 mchana na mchezo wa pili wa Gor Mahia dhidi ya Singida United zitakazochezwa leo katika dimba la Afram Stadium Nakuru Kenya
No comments