Mudhathir Yahaya ameamua kurejea Azam FC akimfuata kocha wake, Hansa van der Pluijm.
Mudathir amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Azam FC.
Pluijm amejiunga na Azam FC akitokea Singida United.
Kabla Mudathir na Pluijm walikuwa pamoja na kocha huyo alimteua kiungo huyo kuwa nahodha wake
No comments