Breaking News

SWEDEN YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA




Sweden imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Korea Kusini katika mechi ya Kundi H hatua ya makundi katika Kombe la Dunia.

Sweden ilipata bao lake kwa mkwaju wa penalti baada ya  beki wa Korea Kusini kufanya madhambi enero la hatari na kumlazimisha mwamuzi kutumia mfumo wa VAR kupata uhakika.

Mlinzi na nahodha wa Sweden Andreas Granqvist ndiye aliyechukua jukumu la kupiga mkwaju huo na kuukwamisha wavuni

No comments