HII HAPA NDEGE YA LIONEL MESSI
Lionel Messi ameripotiwa kununua ndege (2004 Gulfstream V ) kwa dola milioni 15 sawa na bilioni 34.5 za Tanzania, ndege hiyo ina viti 16, bafu mbili na majiko mawili.
Ndege hiyo ambayo ameinunua nchini Marekani inatarajiwa kufanyiwa usajili nchini kwao Argentina.
Namba 10 imeandikwa kwenye mkia wa ndege hiyo, huku jina la mchezaji huyo, mke wake na watoto wake yameandikwa katika ngazi za kuingia ndani.
No comments