HII HAPA LIST YA WACHEZAJI WA SIMBASC WALIOTOROKA KAMBINI
Imeelezwa kuwa wachezaji kadhaa wa klabu ya Simba walikesha klabu siku moja kabla ya mchezo na Bandari FC ambao ulimalizika kwa wageni kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Kupitia Radio EFM, Mwanachama wa Simba, Suleiman Yusuph, amewataja wachezaji watano ambao ni hawa wafuatao
Haruna Niyonzima
Hassan Dilunga
Sergi Wawa
Mohammed Ibrahim na
Jonas Mkude
CHANZO: EFM

No comments