IDADI KAMILI YA WACHEZAJI WA SIMBA WALIO KWEA PIBA KUWAVAA AL AHLY
Wachezaji 20 wa klabu ya Simba ambao wamekwea pipa kuelekea Misri kwa ajili ya mchezo wa klabu bingwa Afrika (Caf Champions League) dhidi ya Al Ahly jumamosi ya February 02.
1-Aishi Manula
2-Deo Munishi Dida
3-Nicholas Gyan
4-Mohamed Hussein
5-Asante Kwasi
6-Pascal Wawa
7-Juuko Murshid
8-Paul Bukaba
9-Jonas Mkude
10-James Kotei
11-Haruna Niyonzima
12-Hassan Dilunga
13-Mohamed Ibrahim
14-Clatous Chama
15-Shiza Kichuya
16-Rashid Juma
17-Adam Salamba
18-Meddie Kagere
19-Emmanuel Okwi
20-John Bocco

No comments