Breaking News

RATIBA KAMILI MECHI ZA LEO TANZANIA BARA NA ILE YA CAF




LIGI Kuu Bara inaendelea leo ambapo timu 10 zitashuka Uwanjani kumenyana kutafuta pointi tatu kwenye viwanja vitano tofauti kama fuatavyo:-

Lipuli wataikaribisha Yanga Uwanja wa Samora.

Mbeya City kazini leo dhidi ya Mbao FC, Uwanja wa Sokoine.

Kagera Sugar leo itamenyana na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Kaitaba.

Coastal Union itakuwa kazini dhidi ya Alliance FC, Uwanja wa Mkwakwani.

Biashara United watamenyana na African Lyon Uwanja wa Karume, Musoma.

Mechi zote zitapigwa saa 10:00 Jioni

NA ILE MECHI KUBWA NI

simBasc dhidi ya as Vita mchezo unaosubiriwa na watu wengi utapigwa saa1:00 usiku

No comments