Breaking News

ADAM SALAMBA RASMI MALI YA SIMBA

Mchezaji wa lipuli fc adam salamba leo rasmi ametambulishwa kama mchezaji mpya ndan ya kikosi cha simba kwa msimu ujao na mashindano mengne yanayoihusu timu hiyo.

Mapema leo katika ofisi ya Mohammed mo DEWJI salamba alimwaga wino wa kuitumikia club iyo kwa mda wa miaka miwili,

Adam amezitosa Yanga na azam zilizokuwa zinamfukuzia na kuamua kujiunga na mabingwa wa soka Tanzania simbasc leo

No comments