Beki wa Liverpool Joe Gomez amesaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki Liverpool mpaka mwaka 2024 .
Gomez ambaye kwa sasa ni majeruhi ametengeneza kombinesheni nzuri na mdachi Virgil Van Dijk katika safu ya ulinzi ya Liverpool na kusaidia klabu hiyo kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi mpaka sasa.
No comments