Breaking News

Tazama jinsi Chelsea iliVyoimaliza Manchester city

Chelsea yakata utepe unbeaten ya Man City baada ya hapo jana kukubali kufugwa magoli 2-0

Kiungo mfaransa Ngolo kante ndio alikuwa wakwanza kuwanyanyua mashabiki wa Chelsea ndan ya kipindi cha kwanza kwa pasi safi kutoka kwa nYota wa timu hiyo Eden Hazard.. Goli la pili la Chelsea lilifungwa na David Luiz kwa mPra wa kona.

No comments