Breaking News

CHELSEA YA MSAJILI CHRISTIAN PULISIC

Klabu ya Chelsea imekamilisha kumsajili winga Christian Pulisic kutoka Borussia Dortmund kwa ada ya pauni milioni 58.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Marekani,20, atabakia kwa mkopo Dortmund mpaka mwisho wa msimu huu.

No comments