Breaking News

HII HAPA TAREHE RASM YA KUREJEA KWA MANJI YANGA

Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini wa klabu ya Yanga SC, George Mkuchika amesema watu walimunukuu vibaya kuhusu kurejea kwa Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji ndani ya klabu hiyo.

Mkuchika amesema kuwa yeye alisema Mwenyekiti (Yusuf Manji) atarejea klabuni hapo kuanzia January 25 na si January 15 kama ilivyoripotiwa.

Aidha Mkuchika amewaomba wanayanga wote watulie kwa sasa kwani Manji atarejea kazini ndani ya mwezi huu.

1 comment: