Breaking News

KISA SPORTPESA SUPER CUP, SHABIKI AMTUMIA BARUA KOCHA SIMBA



By Godfrey godstar,

KWENDA KWA VIONGOZI WOTE WA SIMBA:

Wanachama, Wapenzi na mashabiki wa Simba Sports Club chini ya Simba Sports Club Limited Tunatoa wito wetu kwenu kwa kauli moja tu;

TUNATAKA KOMBE LA SPORTPESA HAKUNA MJADALA
Hatutaki kujaribu kikosi mara mazoezi hapa haya ni mashindano na tunataka hilo kombe. HATUTAELEWANA KWENYE HILI.

Mfikishirieni Habari Kocha Mkuu na benchi lake NO EXCUSE kwenye hili hatutamuelewa.
Tunakuja Uwanjani kama kawaida yetu.

This is Simba

Hashim Mbaga
0764100001

No comments