Breaking News

KOCHA YANGA ATAJA MAJEMBE MATATU KUTOKA SIMBA

Kocha mkuu wa Club ya Yanga Mwinyi Zahera alipokuwa kwenye kipindi cha Azam Maarufu kwa jina la NYUMBA YA BURUDAN NA MUHUZA..

Alishindwa kuzizua hisia kwa wachezaji watatu wa simba pale alipo ulizwa swali nitajie wachezaji watano unaowakubali kutoka simba. Nae bila hiyana alianza kuwataja wachezaji hawa mahiri kwake huku akianza kumtaja kiongoz wa wachezaji wa Club ya simBasc John Raphael Bocco Meddie Kagere kutoka Rwanda na mwisho akamtaja Mwamba wa lusaka CHAMA.

Ikumbukwe Wachezaji hao watatu ndio ilikuwa nguzo imara kwa simbasc kufika hatua ya makundi kuelekea michuano ya club bigwa afrika.

No comments