KUELEKEA MECHI NA WAARABU KOCHA SIMBA APATA HOFU
Aussems amesema Simba hatua kubwa ya maandalizi hayo yanatakiwa kufanyika kwa upande wa saikolojia hasa Waarabu hao wanapokuwa nyumbani.
Amesema Waarabu wakiwa nyumbani ni lazima uamuzi mzuri yatakuwa ni upande wao na siyo rahisi Simba kufanyiwa uungwana wa namna yoyote.
Aidha Aussems amesema maandalizi yao halisi juu ya mchezo huo yataanza kesho rasmi na kwamba watakuwa na ratiba ngumu na nzito ya kuelekea mchezo huo.
"Kisaikolojia pia tunatakiwa kuwa sawa,siku zote huwa nasema unapocheza na timu kama Ahly mnatakiwa kutambua kabla ya mchezo kuanza wanakuwa tayari mbele kwa bao moja.
"Hapa namaanisha mpira ukianza akili yenu inatakiwa kuanza kutafuta bao la kusawazisha kwa kuwa lazima watapewa motisha na waamuzi hilo tunatakiwa kulitambua mapema."https://play.google.com/store/apps/details?id=com.seekertz
No comments