Breaking News

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN ALIPOFUNGUA UWANJA WA MAO ZEDONG

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Michezo wa Mao Zedong's Zanzibar jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Michezo wa Mao Zedong's Zanzibar jana 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi ya Zheng Tai Group, iliojenga Uwanja huo Mr. Pan Yang, wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Uwanja huo 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Uwanja wa Mao Zedong's baada ya kuufungua rasmin leo Zanzibar, akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Vijana,Michezo, Utamaduni na Sanaa Zanzibar, Omar Hassan King 

Sehemu ya wananchi waliojitokeza katika ufunguzi wa Uwanja wa Michezo wa Mao Zedong's Zanzibar jana  

Bendera zikipepea wakati wa ufunguzi wa Uwanja wa Michezo wa Mao Zedong's Zanzibar jana 

Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, akizungumza wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Uwanja wa Mao Zedong's 

No comments