Breaking News

RONALDO ASHINDA TUZO YA GLOBE SOCCER KWA MARA YA TANO







Mwanasoka bora wa zamani wa dunia, Mreno Cristiano Ronaldo akikabidhiwa tuzo ya Globe Soccer baada ya kushinda kwa mara ya tano jana akiwapiku wachezaji walioipa Ufaransa Kombe la Dunia mwaka jana nchini Urusi, Kylian Mbappe na Antoine Griezmann 


No comments