VIDEO- HIGHLIGHT'S GOAS & PENALTIES CHELSEA VS TOTTENHAM
Chelsea ilishinda 2-1 na kufanya sare ya jumla ya 2-2 kufuatia kufungwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza na mbali ya Luiz wengine waliofunga penalti za The Blues ni Willian, Azpilicueta na Jorginho, wakati Christian Eriksen na Erik Lamela pekee walifunga za Spurs, huku Eric Dier na Lucas Moura wakikosa. Chelsea itakutana na Manchester City katika fainali Februari 24 Uwanja wa Wembley mjini London
No comments