Breaking News

TAARIFA MPYA KUTOKA YANGA NI KUHUSU MECHI YA SINGIDA UNITED

Klabu ya yanga kesho itakuwa na mchezo dhidi ya singida united ligi kuu Tanzania bara.
Yanga katika mchezo wake wa kesho inahitaji pointi Tatu muhimu kwasababu mpinzani wake Simba Jana kashinda Mechi yake dhidi ya mtibwa sugar na kufanya uwepo utofauti wa pointi 6 Kati Yao.
Kwa kutambua umuhimu wa mechi hiyo yanga kupitia mitandao yake ya kijamii wamewaomba mashabiki wake kujitokeza Kwa wingi ili kuisapoti timu ambapo wameombwa kuvaa jezi za kijani na kushikilia bendera ya njano.

No comments