USAJILI:- MANCHESTER UNITED KUWATOA HAWA KISA MSHAMBULIAJI HUYU?
WAKATI ZIKIWA ZIMEBAKI MECHI KAZAA KUMALIZIKA KWA MSIMU WA LIGI KUU ENGLAND EPL HIZI HAPA NDIO DONDOOO ZA USAJILI...
MANCHESTER UNITED:-
KUMTOA PAUL POGBA NA ANTHONY MATRIAL ILI KUMPATA MSHAMBULIAJI RAIA WA BRAZIL NEYMA KUTOKA PSG NA KIASI CHA £60m JUU.
PIA KOCHA WA MANCHESTER UNITED JOSE ANAMTAKA KIUNGO MSHAMBULIAJI WA CHELSEA RAIA WA BRAZIL WILLIAN KAMA MBADALA WA ANTHONY MATRIAL..
PIA MSHAMBULIAJI RAIA WA WALES GARETH BALE AMEONYESHA NIA YA KUTAKA KUJIUNGA NA CLUB IYO YENYE MASKANI YAKE PALE OT KATIKA JIJI LA MANCHESTER KWA ADA YA £87m
CHELSEA:-
CHELSEA IMEANDAA £100m KUMSAJILI JOH OBLAK KUTOKA ATLETICO MADRID
WAKATI HUOHUO CLUB YA JUVENTUS IMEACHANA NA MPANGO WAKE WAKUTAKA KUMSAJILI Alvaro Morata KUTOKA CHELSEA.
PIA CHELSEA INASEMAKANA INATAKA KUMCHUKUA KOCHA LAURECT BLANC KUCHUKUA NAFASI YA KOCHA WA SASA ANTONIA CONTE...
ARSENAL:-
MCHEZAJI BEKI RAIA WA UFARANSA PIERRE BARREMACKER ATAMANI KUIVAA JEZI YA ARSENAL.
PIA KIUNGO RAIA WA SWEDISH DEJAN KULUSEVSKI KIUNGO WA CLUB YA ATALANTA AMESEMA UWEPO WA MSHAMBULIAJI Lacazzet PALE ARSENAL UNAMFANYA ATAMAN KUJIUNGA NA ARSENAL.
HUENDA KIUNGO MSHAMBULIAJI WA MANCHESTER UNITED RASHFORD AKAJIUNHA NA ARSENAL CHELSEA AMA Liverpool MSIMU UJAO..
LIVERPOOL:-
LIVERPOOL MBIONI KUIPIGA KIKUMBO REAL MADRID KATIKA USAJILI WA GOLI KIPA WA AC MILLAN GIANLUIGI DONNARUMMA
WAKATI HUO HUO Liverpool INAMNYEMELEA MSHAMBULIAJI WA JUVENTUS PAULO DYBALA KWA KIASI CHA £90m.
No comments