Kocha wa West Brom Darren Moore ametangazwa kuwa kocha bora wa mwezi April katika EPL baada ya kuiongoza timu hiyo kutopoteza mchezo wowote kunako mwezi huo.
West Brom mwezi April ilishinda mechi dhidi ya Man United na Newcastle ugenini, na kutoa sare dhidi ya Liverpool pamoja na Swansea.
No comments