KIKOSI CHA SIMBA CHAENDELEZA UBABE MBELE YA SINGIDA.
Baada ya kutwaa ubingwa wakiwa kwenye makochi club ya simba bado yaendelea kugawa dozi.
Muda mfupi uliopita kikosi cha simBa kilifanikiwa kuitandika bakora moja timu ya sinGiDa ikiwa nyumbani katika uwanja wake wa Namfua pale singida.
Alikuwa ni Shomari Kapombe aliepeleka kilia kwa sinGiDa baada ya kazi nzur alioianzisha yeye na mpra ulipanguliwa na goli kipa wa sinGiDa ali Mustapha na badae Kapombe akautumbukiza nyavuni kiufundi akiupeleka katika nyavu ndogo za pembeni.
simBa sasa baaada ya kutwaa ubingwa wao wa 19 sasa wanaifukuzia rekodi hii ya kutopoteza mchezo wowote wa ligi,
Mpaka sasa simba imeshacheza michezo 28 na awajapoteza mchezo wowote mechi mbili pekee zimesalia moja dhidi ya kaGera taifa na ile ya mwisho dhidi ya majimaji ambayo itachezwa kulee songea.
No comments