MANCHESTER CITY KUWAPOKA CHELSEA NA ARSENAL NYOTA HUYU WA MANCHESTER UNITED?
Man City, United zaingia msituni kunasa vifaa
Pia Manchester United wako tayari kumwachia Anthony Martial kwenda Borussia Dortmund kama chambo ya kumnasa Christian Pulisic.
Manchester City wameanza mazungumzo upya ya kujaribu kumnasa winga wa Leicester City, Riyad Mahrez ambaye huenda akaondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.
Pia Manchester United wako tayari kumwachia Anthony Martial kwenda Borussia Dortmund kama chambo ya kumnasa Christian Pulisic.
Hata hivyo winga huyo anayetajwa kuwa na thamani ya £40m anatolewa macho pia na vigogo wengine kama Liverpool, Chelsea na Arsenal.
No comments