Breaking News

Zidane Athibitisha Funguo Tatu Muhimu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

Madrid,Spain:, Kocha wa Real Madrid  Zinadine Zidane Ametoa Taarifa Kamili Kuwa Staa wa Timu Hiyo Cristiano Ronaldo Atakua Fiti Kuikabili Liverpool Kwenye Fainali ya Mabingwa Ulaya.

Ronaldo Alipata Jeraha la Enka Kwenye Mechi Ya Dhidi ya Mahasimu Wao Fc Barcelona Jumapili na Kupelekea Kutolewa Kipindi Cha Pili.
Zidane Amethibitisha Kuwa Wachezaji Wengine Isco na Dani Carvajal Watacheza Katika Fainali Huko Kyiv.

Real Madrid Wana Mechi Tatu za La Liga Zilizobakia Kabla ya Fainali ya Uefa na Zidane Amesema Ana Imani Kuwa Ronaldo Atacheza Mchezo Wao wa Mwisho Kwenye Ligi Dhidi ya Villareal.

No comments