Andreas Iniesta ameripotiwa kufikia makubaliano ya kujiunga na Tianjin Quanjian ya Uchina kuanzia msimu ujao. Iniesta anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 3 ambao utamfanya alipwe kiasi cha €37m - sawa na zaidi ya billioni 103 kwa kila mwaka baada ya kodi.
No comments