Breaking News

KIKOSI CHA YANGA SC KILICHOELEKEA ETHIOPIA


Makipa, Youthe Rostand na Benno Kakolanya.

Mabeki ni Hassan Kessy, Juma Abdul, Haji Mwinyi, Gadiel Michael, Abdalah Shaibu, Kelvin Yondani na Nadir Haroub.

Viungo ni Raphael Daudi, Papy Tshishimbi, Pius Buswita, Said Juma, Thaban kamusoko, Yusuph Mhilu, Geofrey Mwashiuya na Emmanuel Martin

Washambuliaji ni Obrey Chirwa, Juma Mahadhi na Yohana Mkomola.

Wanaoukosa mchezo huo ni Ibrahim Ajibu ambaye ni majeruhi,Donald Ngoma majerui,Amissi Tambwe Majerui, Vicent Andrew majerui Ramadhani Kabwili na Saidi Mussa wamebaki na kikosi cha timu ya Ngorongoro Heroes.

Yanga watarudiana na Wolyaita Dicha jumatano ya April 18 katika uwanja wa Hawassa mjini Hawassa. Katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam, klabu ya Yanga ilishinda kwa magoli 2-0.  Mshindi wa jumla ataingia kwenye hatua ya makundi kombe la Shirikisho.

Daima Mbele Nyuma Mwiko  

No comments