Lisha ya mvua ya hapa na pale lakin bado mashabiki baazi waanza kujitokeza katika uwanjani mkuu wa Taifa kushuhudia mechi baina ya simBa sc vs Tz prison Mchezo utakao pigwa apo badae majira ya saa10:00jioni
SIMBA SC VS TZ PRISON PICHA ZA BAAZI YA MASHABIKI NJE YA GETI WALIOJITOKEZA
Reviewed by seekertz
on
April 16, 2018
Rating: 5
No comments