VIINGILIO SIMBA NA YANGA HADHARANI
~Viingilio vya mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga tayari vimewekwa kwenye mtandao wa Selcom na sasa ni kubofya tu mapema na kuwai tiketi yako kwa ajili ya mpambano huo wa kukata na shoka wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakao pigwa kwenye Uwanja mkuu wa Taifa jijini Dar es salaam Tarehe 29, April ,2018.
Kiingilio cha juu kabisa kabisa ni shilingi 30,000 wakati kile cha chini ni sh. 7,000 ' 'VIP A - TZS 30,000 VIP B na C TZS 20,000 Viti vya Orange , Green ,Blue - TZS 7,000
No comments