Breaking News

CHELSEA MABINGWA WAPYA KOMBE LA FA

Klabu ya Chelsea imefanikiwa kuichapa Manchester united goli moja bila majibu uwanja wa wembley.

Chelsea waliokuwa wakicheza kwa umakini sana eneo la nyuma na kucheza counter Attack za apa na pale zilizaa matunda katika kipindi cha kwanza baada ya mpra mrefu wa cecs Fabregas kumkuta harzad na kuingia nao eneo la hatar na kusababisha penalti.

Penalty iliyozaa goli na kudumu hati mwisho wa mchezo huo

No comments