WACHEZAJI WAWILI SIMBA WABAKI DAR SAFARI YA SPORTPESA NAIROBI
Baaada ya kikosi cha wachezaji 27 cha simba kuondoka leo alfajiri kuelekea jijini Nairobi kushiriki mashindano ya Kombe la SportPesa kumezuka maswali mengi na sintofahamu kutoka kwa mashabiki kutaka kujua ni wapi walipo baadhi ya wachezaji wa timu hiyo.
Seeker tz imefanikiwa kupata habari za uhakika za kutokuwepo kwa baadhi ya wachezaji kadhaa wa timu hiyo mchezaji jonh bocco hajaondoka na timu kwani bado hajawa fiti asilimia zote, ivyo imembidi abaki ili kuendelea na matibabu.
Na pia mchezaji kiungo mzamiru Yassin licha ya kuorozeshwa katika kikosi kilichosafiri leo hii habar za uhakika tulizopata ni kuwa mchezaji huyo yupo jijin Dar es Salaam kwan ayupo sawa kiafya mzamiru Yassin ameyasema haya baada kupiga story na mwandishi wetu na aliweka wazi kuwa yupo Dar sababu ayupo sawa kiafya
seeker tz waliamua kumfuatilia mchezaji huyo baada ya kuona jina lake katika orodha ya wachezaji waliosafiri na wenzake lakin tukashidwa kumuona mchezaji huyo katika matukio yoyote ya picha za pamoja.
tunawatakia afya njema wachezaji wote wanaoumwa na wenye matatzo mbalimbali. Ameen
No comments