Breaking News

KIKOSI KAMILI CHA SIMBA KINACHOELEKEA NAIROBI KWENYE MASHINDANO YA SPORTPESA.


MICHUANO ya SportPesa Super Cup inatarajiwa kuanza Juni 3 jijini Nairobi na mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wanatarajiwa kuondoka saa 12 asubuhi ya leo Alhamisi na kikosi kamili kwenda kusaka tiketi ya kucheza na Everton nchini Uingereza

Ukimuondoa Haruna Niyonzima,  itawakosa nyota wake wengine wote wa kigeni pamoja na nahodha John Bocco huku akijumuishwa mshambuliaji mpya aliyesajiliwa kutoka Majimaji ya Songea, Marcel Kaheza. Taarifa zinadai Adam Salamba anatarajiwa kuungana na wenzake Jumamosi hii.

Wachezaji wengine wakimataifa wataungana na timu kule kenya

Msafara wa Wekundu hao was Msimbazi utakuwa na watu 30 kama ifuatavyo;

1. Aishi Manula
2. Said Mohamed
3. Ally Salim
4. Ally Shomary 
5. Paul Bukaba 
6. Erasto Nyoni
7. Yusufu Mlipili
8. Mohamed Hussein
9. Jonas Mkude
10. Shomari Kapombe
11. Mzamiru Yassin
12. Marcel Kaheza 
13. Moses Kitandu 
14. Rashid Juma
15. Said Hamis Ndemla
16. Haruna Niyonzima
17. Shiza Kichuya
18. Mohamed Ibrahim

Bechi la Ufundi
19. Pierre Lechantre 
20. Masoud Djuma
21. Mohamed Aimen
22. Muharam Mohamed
23. Richard Robert
24. Yassin Gembe
25. Hamisi Mtambo

Viongozi
26. Said Tulliy
27. Hamis Kisiwa
30. Haji Manara

No comments