Breaking News

REAL MADRID MABINGWA KOMBE LA UEFA CHAMPIONS.

Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na mechi ya kukaya na shoka baina ya wahispania Real Madrid na watoto wa jiji Liverpool kutoka Uingereza.

Mchezo huo wa fainali uliokuwa unasubiriwa kwa hamu uliisha kwa Madrid kushinda kwa goli 3-1 Magoli hayo yalifungwa kupitia kwa Karim Benzema aliefunga Goli kwa uzembe wa Goli kipa Baada ya kutaka kurusha mpra kwa haraka kwenda mbele ila mpra huo ukaishia mguuni kwa Benzema na kisha kufunga Goli Jepes sana, Magoli mengne mawili yalifugwa na Bale alieingia kuchukua nafasi ya isco huku goli la Liverpool likifugwa na  Mchezaji raia wa Senegal Sadio mane.

Hii inakuwa ni mara Ya tatu mfululizo kwa Club hiyo ya Real Madrid kuchukua ubingwa huo kwa mara tatu mfululizo chini ya  Zidane.

No comments