Breaking News

TETESI ZA USAJILI YANGA

Mshambuliaji  Issa Bigirimana kutoka APR ya Rwanda anadaiwa kuwa muda wowote atatua nchini kumalizana na Yanga Sc.

Mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake na APR unamalizika Julai 3 mwaka huu amesema yupo tayari kuichezea Yanga Sc kwasababu anaona ni muda wake muafaka wa kuondoka klabuni hapo.

Bigirimana mpaka sasa ameifungia klabu yake mabao 7 huku kinara akiwa na mabao 11 kunako Ligi hiyo.

No comments