RAMSEY KUTUA CHELSEA
Pauni Mil.30 kwa Ramsey
.
Chelsea wapo tayari kutoa kitita cha Pauni Milioni 30 kupata saini ya kiungo Aaron Ramsey kutoka Arsenal, kwa mujibu wa taarifa kutoka Mail on Sunday.
.
Kocha mpya wa Arsenal Unai Emery wiki chache zilizopita alisema kwama anaamini kiungo huyo wa kimataifa wa Wales atabaki Emirates. #SokaLiveUpdates
No comments