TFF YA MPONGEZA FATUMA ISSA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linampongeza mchezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara Fatuma Issa kwa kufanikiwa kuwa mchezaji bora wa mashindano ya CECAFA kwa Wanawake yaliyomalizika Kigali,Rwanda kwa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara”Kilimanjaro Queens” kufanikiwa kutetea ubingwa wake.
No comments