LIST YA WACHEZAJI WA SIMBA SC WATAKAO ONDOKA KESHO
Wachezaji wa klabu ya Simba SC wanaotarajia kuondoka Kesho Alfajiri kuelekea Zambia kwaajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nkana FC Jumamosi ya December 15 mwaka huu.
Wachezaji hao ni; Aishi Manula, Deogratius Munishi Dida, Pascal Wawa, Juuko Murshid, Nicholas Gyan, Jonas Gerald Mkude, Erasto Edward Nyoni Hassan Dilunga, Clatous Chota na Chama Mohamed Hussein Zimbwe.
Wengine ni; Haruna Hakizimana Niyonzima, Rashid Juma, Shiza Ramadhan Kichuya, John Raphael Bocco, Emmanuel Anord Okwi, Adam Salamba, James Kotei Meddie Kagere, Said Khamis Ndemla na Mzamiru Yassin.
All ze best
ReplyDelete