Mohamed Salah akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool hat-trick kwa mabao ya dakika za 25, 48 na 77 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Steve Cook aliyejifunga dakika ya 68
No comments