HAWA HAPA WAAMUZI MECHI YA SIMBASC vs JS SAOURA
Mwamuzi Joshua Opondo kutoka Botswana ndiye ataichezesha mechi kati ya Simba dhidi ya JS Saoura ya Algeria.
Mechi hiyo ilichezwa Januari 12, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limemtangaza Bondo na waamuzi wengine wasaidizi watatu kutoka Botswana pia.
Waamuzi hao ni Oamogetse GODISAMANG, Moemedi Godfrey MONAKWANE na mwamuzi wa akiba ni Kutlwano LESO.
Kamishna wa mechi hiyo itakayokuwa ya kwanza ya Simba katika hatua ya makundi ni James Leonard Mwenda.
Wakati msimamizi mkuu wa mchezo huo ni Alexander Sakyi Asante kutoka nchini Ghana.
No comments