RATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO
Ratiba ligi kuu soka Tanzania bara kuendelea kupigwa leo kwa mechi mbili kuruka Live Azam Sports 2.
Je Stand United wataweza kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani ama Yanga ataendeleza rekodi yake ya kutokupoteza mchezo msimu huu?
Azam FC alibanwa mbavu mchezo uliopita, Mwadui FC alipoteza mchezo uliopita, Je leo nani kuondoka na pointi 3

No comments