Breaking News

USAJILI MANCHESTER UNITED YAMSAJILI DALOT KUTOKA FC PORTO.

Baaada kutua Fred sasa ni zamu  ya full back Diogo Dalot kutoka Fc porto.

Mchezaji huyo raia wa  Ureno mwenye umri wa miaka 19 amesaini kandarasi ya miaka mitano ndani ya Manchester united, huu utakuwa ni usajili wa pili ndani ya Manchester united msimu huu

No comments