Hali ya kiafya ya Sir Alex Ferguson imeanza kuimarika, Imeripotiwa tayari amepata fahamu na ameanza kuzungumza na baadhi ya sehemu ya familia na marafiki zake ila bado yupo chumba cha wagonjwa mahututi.
Hali ya kiafya ya Sir Alex Ferguson yazidi kuimarika
Reviewed by seekertz
on
May 07, 2018
Rating: 5
No comments