TZ PRISON KUIPA SIMBA UBINGWA? SOMA HII!!
Baada ya kucheza mechi 27 na kufikisha point 65 Club ya simba sasa inaitaji point 1 kama sio mbili kuwa mabigwa wapya wa mwaka2017-2018 wa vpl
Mechi ya ubigwa kwa simba ni dhidi ya sinGiDa lakini kabla ya mchezo Huo wa siku ya Jumamos mabigwa watetezi YANGA wanatarajiwa kushuka dimbani kucheza na Tz prison siku ya alhamsi.
Mchezo huo wa Prison na Yanga Endapo utaisha kwa sare Ya aina Yoyote au Yanga kupoteza basi simba itatangazwa rasm mabigwa wapya kabla ya mchezo wao na sinGida.
MSIMAMO WA LIGI KUU
No comments