Breaking News

KCB MDHAMINI MPYA LIGI KUU TANZANIA BARA

Rasmi KCB Bank Tanzania ni Wadhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2018/19.

KCB Bank Tanzania Inachukua Udhamini wa Ligi kuu Tanzania Bara Baada ya Mdhamini wa awali VODACOM TANZANIA Kumaliza Mkataba.

Natangaza rasmi KCB Bank Tanzania tunadhamini Ligi kuu kwa msimu wa mwaka 2018/19 kwa kiasi cha Tshs. 420,000,000/- kabla ya kodi" Kaimu Mwenyekiti wa Bodi Bi. Fatma Chilo.

No comments